LASZLO BOLONI ALIMTABIRIA RONALDO KUWAFUNIKA EUSEBIO, FIGO


LASZLO Boloni ndiye aliyevumbua kipaji cha soka cha mshambuliaji Cristiano Ronaldo na aliwahi kusema kuwa nyota huyo Mreno angewafunika kwa ubora wachezaji wakongwe kama Eusebio na Figo.

No comments