LIVERPOOL WAJIPANGA KUMTEMA MAMADOU SAKHO

LIVERPOOL wako mbioni kutemana na mlinzi wao Mamadou Sakho.


Beki huyo ameshindwa kujihakikishia namba kwenye kikosi cha Mjerumani Jurgen Klopp.

No comments