LIVERPOOL WEMBE ULE ULE ...Divock Origi, Milner wapeleka kicheko Anfield


LIVERPOOL moto chini!! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kuikalisha Sunderland 2-0 kwenye mchezo wa Premier League uliochezwa Anfield.

Waliopeleka kicheko kwa kocha  Jurgen Klopp ni Divock Origi aliyefunga bao la kwanza dakika ya 75 na James Milner akahitimisha ushindi kwa goli la dakika ya 90 kupitia mkwaju wa penalti. 

LIVERPOOL (4-3-3): Karius 6; Clyne 6, Matip 6.5, Lovren 6.5, Milner 6, Wijnaldum 6.5 (Woodburn, 90), Henderson 5.5, Can 6, Coutinho 6.5 (Origi), Firmino 7 (Leiva), Mane 6

SUNDERLAND (4-3-3): Pickford 7.5; Jones 6, Kone 7, Van Aanholt 6, O'Shea 6.5, Ndong 6.5, Denayer 6.5, Pienaar 6 (Gooch), Anichebe 6, Watmore 6 (Januzaj), Defoe 6

No comments