LIVERPOOL YAMFUNGIA KAZI HANNIBAL MEJBRI AMBAYE NI MTOTO WA MIAKA 13

LIVERPOOL wamepania kumsajili kinda mwenye umri wa miaka 13, Hannibal Mejbri ambaye anawaniwa na klabu kadhaa za England.


Kocha Jurgen Klopp anamkubali mno Mejbri anayechezea Paris FC ambaye ameshasaini mkataba na kampuni ya Adidas.

No comments