Liverpool made light work of visitors Watford to secure an important victory that sends them top of the Premier League

LIVERPOOL imekaa kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kuikwanyua Watford 6-1 kwa mabao ya Sadio Mane aliyefunga mara mbili, Philippe Coutinho, Emre Can, Jose Holebas na Roberto Firmino.

Watford iliyozidiwa kila idara ilipata bao lake pekee dakika ya mwisho wa mchezo kupitia kwa Georginio Wijnaldum.
Sadio Mane (right) showed great ingenuity to open the scoring with a deft header after just 25 minutes

Sadio Mane (kulia) akifunga kwa kichwa kitamu dakika ya 27
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac