LUCA MARCHEGIANI ADAI JOE HART HANA SABABU TENA YA KUJIONA KIPA BORA DUNIANI

MKONGWE wa Italia, Luca Marchegiani amedai kuwa kipa wa England, Joe Hart hana sababu tena ya kujiona kuwa miongoni mwa makipa bora duniani kwa sasa.

No comments