LUCAS VAZQUEZ WA REAL MADRID ASDIFU WACHEZAJI WA TIMU YAKE DHIDI YA BARCELONA

KUELEKEA mechi ya Clasco, kiungo mshambuliaji Lucas Vazquez wa Real Madrid amesema timu yake ndiyo inayoundwa na wachezaji wenye vipaji zaidi vya mchezaji mmoja mmoja ukilingamnisha na wapinzani wao Barcelona.

No comments