LYON YARIPOTIWA KUMTAKA STRAIKA BERTRAND TRAORE WA CHELSEA

STRAIKA wa Chelsea Bertrand Traore anaripotiwa kutakiwa na timu ya Lyon inayocheza Ligi Kuu ya Ufaransa, Ligue 1.


Taarifa za mtandao wa Foot Mercato wa nchini humo zilieleza kuwa vinara hao wanamtaka kwa udi na uvumba straika huyo mwenye umri wa miaka 21.

No comments