MAJERUHI ALVARO MORATA KUENDELEA KUWA NJE KWA WIKI KADHAA

ALVARO Morata ataendelea kuwa nje kwa wiki kadhaa, lakini mashabiki wa Real Madrid wameonyesha mapenzi kwa Isco ambaye uwezo aliouonyesha kwenye mchezo dhidi ya Atletico Madrid ni ishara tosha kuwa anaweza kupata namba kikosi cha kwanza.

Nyota huyo wa zamani wa Malaga alianzishwa kwenye mechi hiyo kucheza nyuma ya Cristiano Ronaldo kama kiungo mshambuliaji.

No comments