MAJERUHI BALOTELLI KUKOSA MECHI TATU ZA TIMU YAKE YA NICE

VINARA wa Ligi Kuu Ufaransa Ligue 1, Nice watamkosa mshambuliaji wao nyota Mario Balotelli ambaye atalazimika kuwa nje ya uwanja kutokana na kuwa majeruhi.

Balotelli atakosa mechi tatu zijazo baada ya kuumia kwenye mazoezi ya timu hiyo, amesema kocha wa Nice, Lucien Favre.

No comments