MAJERUHI INIESTA AENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUIVAA REAL MADRID JUMAMOSI HII

NAHODHA wa Barcolona, Andres Iniesta ameendelea kujifua kwa wiki nzima tangu kupona goti na huenda akacheza kidogo mechi ya Clasico dhidi ya Real Madrid kwenye uwanja wa Nou Camp Jumamosi.

No comments