MAJERUHI LUCA MODRIC WA REAL MADRID UWANJANI NOVEMBA 19 KUIKABILI ATLETICO MADRID

BAADA ya wiki nane za kuwa nje ya uwanja kutokana na kufanyiwa upasuaji wa goti, kiungo wa Real Madrid, Luca Modric huenda akavaa jezi kwenye kikosi cha kwanza kitakachoikabili Atletico Madrid Novemba 19.

No comments