MAJERUHI YA GARETH BALE YATOA AHUENI KWA JAMES RODRIGUES ANAYENUKIA KUMWAGWA KIKOSI CHA KWANZA REAL MADRID

KUUMIA kwa Galeth Bale ambaye huenda akawa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kumetajwa kuwa ni nafasi ya mwisho kwa James Rodrigues kumthibitishia makali yake kocha Zinedine Zidane ili ambakishe kwenye kikosi cha kwanza cha Real Madrid.

No comments