MAMLAKA YA MAPATO MAREKANI YAMNG'ANG'ANIA RICKROSS KWA TUHUMA ZA UKWEPAJI KODI

RAPA Rick Ross ameingia matatani baada ya mamlaka ya mapata kung’ang’ania kwamba anadaiwa kiasi cha dola mil 5.7 kuanzia mwaka 2012 hadi 2014.

Kupitia tovuti ya TMZ ilibainisha IRS inamdai bosi huyo wa lebo ya MMG kutokana na kukepa kodi.

Mmoja wa maofisa wa IRS aliiambia TMZ kwamba “Kama asipolipa fedha hizo tunaweza kushikilia mali zake na kuziuza.”


Pia alieleza kwamba Ross si rapa pekee mwenye madeni na IRS bali wapo wengine kama Igg Azalea anayedaiwa dola 391,000 huku Nelly akiwa anadaiwa deni la dola mil 2.

No comments