MANCHESTER CITY BADO YAMFUKUZIA LIONEL MESSI

TIMU ya Manchester City inasemekana kuwa bado haijakata tamaa katika mbio za kumnasa nyota wa timu ya Barcelona, Lionel Messi.


Kwa kipindi kirefu nyota huyo wa timu ya taifa ya Argentina alikuwa akihusishwa na Man City licha ya kuwa dau lao liko juu.

No comments