MANCHESTER CITY WATAKA ALEX GRIMALDO ATUE ETIHAD... lakini Benfika wasisitiza hauzwi

JOPO la maskauti wa Manchester City ni kama limehamia nchini Ureno ambako linataka kuhakikisha beki wa Benfica, Alex Grimaldo anatua Etihad.


Man City wanamtaka mlinzi huyo wa kulia lakini Benfika wamesisitiza kuwa hauzwi. 

No comments