MANCHESTER CITY YATAJWA KWENYE MPANGO WA KUMFUKUZIA ANDREA PINAMONTI WA INTER MILAN

MATAJIRI wa Manchester City wametajwa kwenye mpango wa kuifukuzia saini ya kinda wa Inter Milan, Andrea Pinamonti.


Jicho la kocha Pep Guardiola limelenga pazuri kwani chipukizi huyo mwenye miaka 17 ameshafunga mabao 10 katika mechi za timu ya vijana ya Inter.

No comments