MANCHESTER UNITED YA MOURINHO KUPIGA HODI CAM NOU KWA AJILI YA "KUMCHUMBIA" KIUNGO IVAN RAKITIC

MANCHESTER United wanapanga kutuma ofa ya kutaka kumsajili kiungo wa Barcelona, Ivan Rakitic ambaye mkataba wake Camp Nou unamalizika 2019.

No comments