MANCHESTER UNITED YAMTEGA MICHAEL KEANE KWA PAUNI MIL 25

IMERIPOTIWA kuwa klabu ya Manchester United imeweka mezani kitita cha pauni mil 25 ikiwa ni ofa ya kumsajili beki wao wa zamani, Michael Keane.


Tangu kuanza kwa msimu huu, beki huyo wa kati amekuwa nguzo imara ya safu ya ulinzi ya klabu yake ya Burnley.

No comments