MAPAPARAZI HISPANIA WAMTUHUMU ZIDANE KUTUMIA MINU DHAIFU DHIDI YA LEGIA WARSAW


VYOMBO vya habari nchini Hispania vimemtupia madongo kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane vikimtuhumu kutumia mbinu dhaifu katika mechi ya Ligi ya Mabingwa iliyokwisha kwa sare dhidi ya Legia Warsaw, mjini Warsaw, Poland hivi karibuni.

No comments