WAKALA wa Marco Verratti amesema kiungo huyo wa PSG anaweza kuihama klabu hiyo kama ataendelea kuandamwa na vyombo vya habari.


Verratti amekuwa mjadala tangu alipotofautiana na kocha wake Unai Emery wiki iliyopita alipopumzishwa katika dakika ya 59 dhidi ya Marseille.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac