MARCO VERRATTI WA PSG AONGOZA KWA NIDHAMU LIGI YA MABINGWA ULAYA

STAA Marco Verratti wa Paris Saint-Germain ndiye mchezaji anayeongoza kwa kuwa na nidhamu tangu kuanza kwa msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Nyota huyo wa kimataifa wa Italia amepewa kadi ya njano mara mbili huku akilimwa nyekundu mara moja tu.

Wakati Lionel Messi akiwa kinara wa mabao kwenye michuano hiyo msimu huu akiwa amepasia nyavu mara tisa, Neymar ndiye anayeongoza kwa asistu akiwa amefanya hivyo mara saba.


Majuzi Borussia Dortmund waliifunga Legia Warsaw mabao 8-4 na huo ulikuwa ni ushindi mkubwa kuwahi kutokea katika historia ya mashindano hayo.

No comments