MARIO GOTZE AKIRI "KUFULIA" KISOKA... asema hawezi kuwa mchezaji yuleyule aliyefunika kikosini Borussia

MARIO Gotze amekiri kwamba hawezi kuwa mchezaji yuleyule aliyeibuka na kufunika katika kikosi cha Borussia Dortmund mwaka 2010 wakati akisaka kuboresha kiwango chake chini ya Thomas Tuchel.

No comments