MARSEILLE, LIVERPOOL ZACHUANA KUMWANIA GEOFFREY KONDOGBIA

KLABU ya Marseille ya Ufaransa inachuana na Liverpool kuwania saini ya mchezaji Geoffrey Kondogbia anayeitumikia Inter Milan ya Ligi Kuu Italia.


No comments