MKE WA VAN PERSIE ATHIBITISHA MUMEWE "ANAENDELEA POA"... asema awali alionekana kama bondia

MKE wa Robin Van Persie, Bouchra amesema mumewe anaelekea kupona jicho aliloumia wakati akiitumikia Fenerbahce dhidi ya Akhisar. “Yuko poa sasa, awali alionekana kama bondia,” alisema Bouchra.

No comments