MKURUGENZI WA MICHEZO WA AJAX ABAINISHA DALEY BLIND ALIUZWA KWA NJIA YA BARUAPEPE KWENDA MAN UNITED 2014

MKURUGENZI wa michezo wa Ajax, Marc Overmars amebainisha kuwa uhamisho wa mchezaji Daley Blind kwenda Manchester United mwaka 2014 ulikamilika kwa njia ya baruapepe bila klabu hizo kukutana na kuzungumza. 

No comments