MNIGERIA WILFRED NDINDI AWAVUTIA LEICESTER

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu England, Leicester City wanavutiwa na kinda wa kimataifa wa Nigeria Wilfred Ndindi.


Ndindi mwenye umri wa miaka 19 anakipiga Genk ya Ubelgiji na tathmini yake inatajwa kuwa pauni mil 16.

No comments