MOURINHO KUMCHEZESHA HENRIKH MKHITARYAN MECHI DHIDI YA FEYANOORD


KOCHA Jose Mourinho amesema kuwa atamchezesha Henrikh Mkhitaryan kwenye mechi kati ya Manchester United dhidi ya Feyanoord. Mourinho alisema hayo alipoulizwa kwanini hakumpanga mchezaji huyo kwenye mchezo dhidi ya Arsenal. 

No comments