NAPOLI YATAKA KUMCHUKUA KWA MKOPO KURT ZOUMA

NAPOLI wanavutiwa na huduma ya staa Kurt Zouma na wanataka kumnasa kwa mkopo.


Beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa amekuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu kutokana na balaa la majeruhi lakini Napoli wanataka kumfufua.

No comments