OLIVIER GIROUD ASEMA HAUMII KUKOSA NAMBA KIKOSINI ARSENAL

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Olivier Giroud amesema haumii kukosa namba kikosi cha kwanza lakini muhimu kwake ni kuona timu inafanya vizuri kwenye mashindano.

No comments