PARIS SAINT-GERMAIN WAMWANDALIA ANTOINE GIEZMANN PAUNI MIL 89

WABABE wa soka la Ufaransa, Paris Saint-Germain wametajwa kuwa wanamtaka staa wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.

Kwa mujibu wa taarifa, PSG wako tayari kutoa pauni mil 89.

No comments