PEP GUARDIOLA AKABIDHIWA RUNGU KUIKENG'ETA ATLETICO MADRID... uongozi wampa ridhaa ya kumsajili Nicolas Gaitan

KLABU ya Manchester City wameitega Atletico Madrid na sasa wamerejea azma yao ya kutaka kupata saini ya Nicolas Gaitan.

Taarifa za ndani ya klabu ya Manchester City  zinasema kuwa kocha Pep Guardiola amepewa lidhaa na uongozi kwa ajili ya kumsajili kiungo huyo kwa gharama ambayo haikutajwa.


Mpango wa mwaka huu ni kama wanakumbusha kidonda cha mwaka jana ambapo klabu hizo mbili ziliingia vitani kwa kila mmoja kuhitaji mcjhezaji wa upande wa pili.

No comments