PEP GUARDIOLA ASEMA "HAKUNA SHINIKIZO LA MAHITAJI KUMTUMIA TOURE"

KOCHA Pep Guardiola amesema kuwa hakuna shinikizo la mahitaji ya kumtumia Yaya Toure, 33, kwenye kikosi chake cha Manchester City baada ya kiungo huyo kurejea kwa nguvu dimbani wiki iliyopita na kufunga mabao mawili.

No comments