PICHA 13: LEYLA RASHID NA ISHA MASHAUZI WALIVYOITINGISHA MASASI


ISHA MASHAUZI na Leyla Rashid wanaendelea kutimua vumbi katika ziara yao mikoa ya kusini mwa Tanzania ambapo Ijumaa usiku uhondo mkubwa ulimiminwa mjini Masasi.

Show hiyo iliyopigwa katika ukumbi wa BR ikashuhudia namna bendi za Jahazi na Mashauzi zilivyosindikiza mpambano wa nani zaidi kati ya Isha na Leyla.

Pata picha 13 za onyesho hilo lililoshuhudiwa na umati mkubwa wa mashabiki.
 Isha Mashauzi
 Isha mbele ya umati
 Isha jukwaani
 Jumanne Ulaya wa Jahazi
 Kali Kitimoto wa Mashauzi kwenye kinanda
 Isha Mashauzi na Leyla Rashid walivyotokelezea
 Leyla mbele ya umati
 Leyla Rashid
 Mazoea mpiga kinanda wa Jahazi
 Umati wa mashabiki ndani ya BR Masasi
 Sehemu nyingine ya umati wa mashabiki
 Nyomi la Masasi
Mpiga bass wa Mashauzi Shaaban wa Kumwaga

No comments