PICHA 16 ZA UHONDO WA JAHAZI NA MASHAUZI LINDI


JAHAZI Modern Taarab na Mashauzi Classic walimalizia ziara yao ya mikoa ya kusini siku ya Jumapili ndani ya ukumbi wa Polisi Lindi mjini.

Hiyo ni katika ile nani zaidi ya Isha Mashauzi na Leyla Rashid ambayo kwasasa imekuwa ndiyo gumzo la wapenda taarab hapa Bongo.

Tupia macho picha 16 za onyesho hilo lililohudhuriwa na mashabiki wengi.
 Hashim Said wa Mashauzi Classic
 Isha Mashauzi jukwaani
Leyla Rashid akiimba "Sina Muda Huo"
 Leyla Rashid
 Leyla Rashid akifanya yake
 Isha akishambulia jukwaa na madansa wake
 Leyla Rashid akipagawisha
 Nyomi!!
 Prince Amigo wa Jahazi
 Mashabiki waliposhindwa kujizuia na kuvamia jukwaani na kumkodolea macho Isha Mashauzi
 Shabaan Kinanda wa Jahazi
 Isha akiamsha shangwe
 Vijana 'watukutu' wa Jahazi Shaaban Kinanda, Prince Amigo na Emereaa
 Madansa wa Mashauzi Hassan, Meshack na Gudi 
 Waimbaji wa Mashauzi
Waimbaji wa Jahazi

No comments