NANI ZAIDI ya Layla Rashid na Isha Mashauzi iliuteka mji wa Nachingwea Alhamisi usiku ambapo ukumbi wa NR ulifurika kupita maelezo pale wakali hao walipochuana.

Leyla na Isha wakasindikizwa na bendi zao za Jahazi Modern Taarab na Mashauzi Classic na kufanya kitu kilichoandika historia ya burudani ndani ya Nachingwea.

Pata picha 20 za onyesho hilo la Leyla na Isha  ambao Ijumaa usiku wanafanya makamuzi Masasi kabla ya kuelekea Mtwara kwa onyesho lao la Jumamosi na kisha kukamilisha ratiba yao Jumapili mjini Lindi.
 Prince Amigo akiwakimbiza mashabiki wa Nachingwea
 Isha Mashauzi jukwaani
 Isha Mashauzi akishambulia jukwaa
 Mashabiki wa Nachingwea wakipagawa
 Isha Mashauzi akitoa swaga zake
 Jumanne Ulaya wa Jahazi akilidhibiti gitaa la solo
 Leyla Rashid jukwaani
 Hivi ndiyo Nachingwea ilivyoitika
 Leyla Rashid akifanya yake
 Leyla Rashid 
 Hashim Said wa Mashauzi (kushoto) na Prince Amigo wa Jahazi
 Hashim Said  na Prince Amigo wakiwasilisha jambo lao
 Mishi Mohamed wa Jahazi
 Mussa Bass wa Jahazi kwa raha zake
 Asia Mzinga wa Mashauzi Classic
 Umati wa mashabiki wa Nacnhingwea
 Ilikuwa kama hivi
 Amigo huyo
 Isha na Amigo
Isha Mashauzi

NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac