PSG WAIKATA MAINI MANCHESTER UNITED KWA MARQUIMHOS

HABARI zilizovuja zimesema huenda Manchester United wakaishia kumtolea macho tu staa wa PSG, Marquimhos.


Marquimhos anataka kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili pale PSG na kama itakuwa hivyo, atakuwa amefuta uwezekano wa kutua Old Trafford.

No comments