RAIS WA LYON KUWAKATA MAINI WESTHAM KWA KUMWONGEZEA MKATABA ALEXANDRE LACAZETTE

RAIS wa Lyon ya Ufaransa, Jean Michel Aulas amesema ili kuzikata maini timu zinazomfukuzia mshambuliaji wake tegemeo Alexandre Lacazette, anamuongezea mkataba mpya.


Alisema, moja ya klabu ambazo zinaonekana kumbabaikia sana Lacazette mwenye miaka 25, ni Westham United ya Ligi Kuu England.

No comments