RIYARD MAHREZ ASEMA LEICESTER CITY HAITISHWI NA JANGA LA KUSHUKA DARAJA


RIYARD Mahrez amesisitiza kuwa yeye pamoja na wachezaji wenzake hawatishwi na janga la kushuka daraja pamoja na kwamba Leicester City, mabingwa wa Ligi Kuu England, wameanza vibaya msimu huu wakishinda mechi tatu tu kati ya 12 za Ligi.

No comments