MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amedai kuwa hajali licha ya kusemwa vibaya na mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kushuka kwa kiwango chake.

Staa huyo raia wa Ureno ameweka wazi kuwa anachokiangalia kwa sasa ni kurejea kwenye ubora wake na si maneno ya nje ya uwanja.

Mkali huyo ameanza vibaya msimu huu wa 2016/17 na hivi karibuni alizomewa namashabiki wake katika mchezo wa La Liga walioibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya athletic Bilibao.

“Kweli nahitaji wanaonichukia,wamenisaidia kufika hapa nilipo," alisema Ronaldo.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac