SASA DHAHIRI KOCHA ANTONIO CONTE HAMTAKI CESC FABREGAS

KIUNGO Cesc Fabregas hayuko kwenye mipango ya kocha Antonio Conte wa Chelsea ambaye amependekeza mchezaji huyo aendelee kulipwa lakini atolewe kwa mkopo Januari mwakani.

No comments