SHINJI KAGAWA ASEMA HANA MPANGO WA KUACHANA NA BORUSSIA DORTMUND... asema

SHINJI Kagawa amesema hana mpango wa kuachana na klabu yake ya Borusia Dortimund na kusisitiza kuwa atafanya kila linalowezekana kuhakikisha ana kuwa mtu muhimu kwenye klabu hiyo.

No comments