SIKIA HII... ETI KUMBE JOSE MOURINHO AMEONYESHWA KADI NYEKUNDU NYINGI KULIKO TIMU YAKE MSIMU HUU

KADI nyekundu mbili alizoonyeshwa kocha Jose Mourinho msimu huu ni nyingi kuliko nyekundu ambazo timu yake nzima ya Manchester United imeonyeshwa kufikia sasa.

No comments