KLABU ya Sunderland imeweka matumaini makubwa kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria Victor Anchebe iloyomsajili hivi karibuni.

Anichebe mwenye umri wa miaka 28 hakuwa na timu tangu Mei mwaka huu alipoachana na West Bromwich Albion na Sunderland imeona kumnasa ni kama kuokota dhahabu barabarani.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac