Habari

TEDDY SHERINGHAM AMMWAGIA SIFA KIPA HUGO LLORIS

on

MSHAMBULIAJI mahiri wa zamani
wa Manchester United na England, Teddy Sheringham amesema kwake yeye kipa Hugo
Lloris ndiye kipa bora zaidi kuwahi kuidakia Tottenham.

Shmpongeza kocha wa Spur,
Mauricio Pochettino kwa uamuzi wake wa kumpa unahodha kipa huyo Mfaransa
akisema anafanya mambo makubwa White Hart Lane kutokana na uwezo na juhudi
binafsi.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *