THEO WALCOTT ASEMA ARSENAL IMEMNYIMA FURAHA OLIVIER GIROUD KWA KUMCHEZESHA MARA CHACHE MSIMU HUU

THEO Walcott amebainisha kuwa Olivier Giroud hana furaha kutokana na kucheza mechi chache msimu huu lakini anaamini staraika huyo bado ana mengi ya kuipa Arsenal kwa kuangalia rekodi yake ya mabao aliyofunga.

No comments