THIBAUT COURTOIS AANIKA SABABU YA JICHO LAKE KUONEKANA JEKUNDU UBELGIJI ILIPOCHEZA NA UHOLANZI

KIPA wa Chelsea, Thibaut Courtois, 24, amefafanua sababu ya jicho lake kuonekana kuwa jekundu akiwa jukwaani wakati timu yake ya taifa Ubelgiji ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Uholanzi kwamba ni kujisikia mgonjwa sana.

No comments