TORINO WAMTAKA WENGER KUWEKA MEZANI PAUNI MIL 80 ILI KUMWACHIA ANDREA BRELOTTI

ARSENAL ya Arsene Wenger watatakiwa kuweka pembeni ubahili wao ikiwa watataka kumnasa staa wa Torino, Andrea Belotti.


Rais wa Torino amesema watakuwa tayari kumwachia Belotti ikiwa Gunners wataweka mezani pauni mil 80 na si vinginevyo.

No comments