UMESIKIA HII… KUMBE JANET JACKSON ALIKUWA NA MTOTO?

MUME ewa zamani wa msanii wa muziki nchini Marekani Janet Jackson, James DeBarge amedai kushangazwa na James kumkana mtoto wa kike waliyempata wakati walipokuwa mke na mume miaka ya 1984.

Wawili hao walifunga ndoa 1984 na waliachana mwaka mmoja baadaye na Janet alikuwa akieleza kwamba ujauzito alionao sasa ni wa kwanza na hana mtoto mwingine jambo ambalo linapingwa na muwe wake.


“Nimechoka kusikia habari za Janet kumkana binti yetu na nashangazwa kwa nini anamkana,” alieleza DeBarge.

No comments