WAYNE ROONEY AMPIGIA DEBE KOCHA GARETH SOUTHGATE KIBARUA CHA KUDUMU KUINOA ENGLAND

NAHODHA Wayne Rooney amempigia debe kocha wa muda wa England, Gareth Southgate apewe kibarua cha kudumu cha timu hiyo kufuatia kuiongoza katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Scotland juzi.

No comments